VIJIWE SMS PROGRAM
VIJIWE are job advertisements that are often quick and informal. These types of jobs are commonly found in local areas (“street jobs”) and usually have the following characteristics:
CHARACTERISTICS OF VIJIWE JOBS
- No formal job description
- The application method is by calling directly
- No application deadline
- Salary is based on negotiation
- Whoever calls first and agrees with the employer gets the job
- Academic qualifications (certificates) are not highly considered
- Experience is often not required, as long as you know how to do the job
IMPORTANCE OF VIJIWE JOBS
- If you call early, the chance of getting the job is 100% once you agree with the employer
- Easy to secure a job – the key is acting quickly
- No need for high academic performance to get the job
- No need for extensive experience
- Helps someone earn income while waiting for an official job
- Makes it easier for employers to get workers quickly
- Posting a VIJIWE job through AjiraCoach is currently free
VIJIWE SMS PROGRAM
This new service is available exclusively on the AjiraCoach Platform in Tanzania.
Its goal is to remove the barrier of lacking internet bundles, which prevents job seekers from accessing VIJIWE job postings.
Through VIJIWE SMS PROGRAM, job postings are delivered to you via normal SMS (even when you are offline or without internet bundles).
The service officially started in August 2025, and currently serves Health Professionals only, with plans to expand to all professions.
OBJECTIVES OF VIJIWE SMS PROGRAM
- To provide you with VIJIWE job postings even when you are offline
- To create fairness – since VIJIWE jobs are usually secured by whoever acts first
- To ensure every AjiraCoach member has access to job opportunities
THINGS TO CONSIDER BEFORE JOINING
- Our role is to deliver job postings just as you would see them online
- When you receive a posting and meet the requirements, apply immediately
- Payment does not mean you will receive postings every day – it depends on the postings we receive
- Agreements between you and the employer are independent – AjiraCoach is not involved
- Payment is not a guarantee of employment – it depends on how fast you respond to the employer
- You will receive postings based on your registered profession (e.g., Lab, Nurse, Pharmacy, Doctor)
- If you miss a job or fail to agree with the employer, please do not bring complaints to our inbox – the agreements are strictly between you and the employer
- The service ends once your subscription period expires – to continue, you must renew your payment
SUBSCRIPTION PACKAGES
- 1 Month – Tsh 3,000
- 3 Months – Tsh 7,000
- 6 Months – Tsh 12,000
- 12 Months (Full Year) – Tsh 20,000
HOW TO PAY
Payments are made between the 28th of the ending month and the 2nd of the new month.
If you miss this payment window, you will not be registered. The service ends on the last day of the paid month.
Pay through:
M-PESA: 68578714
Airtel Money: 0685956729
Recipient Name: BASHIRU MAVUSU
After payment, send a Screenshot or SMS confirmation of payment via WhatsApp: 0629 157 015
AFTER PAYMENT, SEND THE FOLLOWING DETAILS
- Your full name
- Your email address
- Your normal text phone number
- Your profession (e.g., Nurse, Lab, Pharmacy, Doctor)
VIJIWE SMS PROGRAM
VIJIWE ni matangazo ya kazi ambazo mara nyingi ni za haraka na zisizo rasmi. Aina hizi za ajira hujulikana zaidi mitaani (“kazi za vijiweni”) na mara nyingi huwa na sifa zifuatazo:
SIFA ZA KAZI ZA VIJIWE
- Hakuna job description rasmi
- Njia ya kuomba kazi ni kupiga simu moja kwa moja
- Hakuna deadline ya maombi
- Mshahara huamuliwa kwa maelewano
- Anaye wahi kupiga simu na kukubaliana, ndiye anayepata kazi
- Ufaulu (vyeti) hauzingatiwi sana
- Mara nyingi experience haihitajiki, ilimradi tu unajua kufanya kazi husika
UMUHIMU WA KAZI ZA VIJIWE
- Ukiwahi kupiga simu, nafasi ya kupata kazi ni 100% mkikubaliana na muajiri
- Ni rahisi kupata kazi – kinachohitajika ni kufanya haraka
- Huhitaji ufaulu mkubwa darasani ili kupata kazi
- Haina haja ya kuwa na experience kubwa
- Husaidia mtu kupata kipato wakati akisubiri kazi rasmi
- Huwarahisishia waajiri kupata wafanyakazi haraka
- Kutangaza kazi ya KIJIWE kupitia AjiraCoach kwa sasa ni bure
VIJIWE SMS PROGRAM
Huduma hii mpya inapatikana AjiraCoach Platform pekee Tanzania.
Lengo lake ni kuondoa kikwazo cha kutokuwa na bando kinachowafanya watafuta kazi za vijiwe kukosa matangazo.
Kupitia VIJIWE SMS PROGRAM, matangazo ya kazi yanakufikia kwa njia ya SMS ya kawaida (hata ukiwa offline au huna bando).
Huduma imeanza rasmi Agosti 2025, na kwa sasa ipo kwa Wataalamu wa Afya pekee, huku ikijiandaa kupanuka hadi fani zote.
MALENGO YA VIJIWE SMS PROGRAM
- Kukupatia matangazo ya kazi za vijiwe hata ukiwa offline
- Kuleta usawa – kwa kuwa mara nyingi kazi hupatikana kwa anayewahi
- Kuhakikisha kila mdau wa AjiraCoach anapata fursa ya ajira
VITU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUJIUNGA
- Kazi yetu ni kukuletea matangazo sawa na yale ambayo ungeona ukiwa online
- Ukipokea tangazo na unakidhi vigezo, tuma maombi mara moja
- Malipo yako hayamaanishi kuwa utapata matangazo kila siku – hutegemea tangazo linavyotufikia
- Makubaliano kati yako na muajiri ni binafsi – AjiraCoach haihusiki
- Kulipia sio guarantee ya kupata kazi – inategemea kasi yako ya kuwasiliana na muajiri
- Utapokea matangazo kulingana na fani uliyojisajilia (mf. Lab, Nurse, Pharmacy, Doctor)
- Ukikosa kazi au hamkukubaliana, tafadhali usilete malalamiko inbox – makubaliano ni kati yako na muajiri
- Huduma inaisha baada ya muda uliolipiwa kuisha – ukitaka kuendelea, lipa tena
BEI ZA VIFURUSHI
- Mwezi 1 – Tsh 3,000
- Miezi 3 – Tsh 7,000
- Miezi 6 – Tsh 12,000
- Mwaka Mzima (12 Months) – Tsh 20,000
JINSI YA KULIPIA
Malipo hufanyika kati ya tarehe 28 ya mwezi unaoisha hadi 02 ya mwezi mpya.
Ukichelewa muda huu, hautasajiliwa tena. Huduma huisha siku ya mwisho wa mwezi uliolipiwa.
Lipa kupitia:
- M-PESA: 68578714
- Airtel Money: 0685956729
Jina la Mpokeaji: BASHIRU MAVUSU
Baada ya kulipa, tuma Screenshot au SMS ya malipo kupitia WhatsApp: 0629 157 015
BAADA YA MALIPO, TUMA TAARIFA ZIFUATAZO
- Jina lako kamili
- Email yako
- Namba ya simu ya kawaida (Normal text)
- Fani yako (mf. Nurse, Lab, Pharmacy, Doctor)