KIMARO MOBILE LIMITED
Kimaro Mobile Limited is a fast-growing company committed to providing quality mobile services, technology solutions, and customer support across Tanzania. The company focuses on innovation, customer satisfaction, and building a strong network of professional sales teams to enhance service delivery nationwide.
NAFASI ZA KAZI!
Mawakala Mauzo (Sales Person/Front Officer)
JIUNGE NA TIMU YETU
NAFASI ZILIZOPO WAKALA MAUZO:
- DAR ES SALAAM (20 positions)
- MWANZA (4 positions)
- ARUSHA (4 positions)
- TABORA (4 positions)
- MOROGORO (4 positions)
- DODOMA (4 positions)
- GEITA (4 positions)
- TANGA (4 positions)
- ZANZIBAR (6 positions)
- MOSHI (3 positions)
- SINGIDA (3 positions)
VIGEZO:
- Awe na namba ya NIDA
- Umri kuanzia miaka 18–25
- Elimu kuanzia Form IV – Diploma
Note: Kijana awe na utayari wa kufanya kazi Mkoa wowote; Kampuni itagharamia Malazi kwa mkoa husika.
NAMNA YA KUTUMA MAOMBI
Tuma WHATSAPP SMS MOJA TU!! Ikijita majina yako kamili, Umri, namba ya nida na Mkoa uliopo sasa.
USIPIGE SIMU, USITUME SMS ZAIDI YA MOJA!!!
TUMA KUPITIA
0652256479
Anuani: 58 Mikocheni Road, Auditax Building